Ticker

6/recent/ticker-posts

KATAMBI AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA VIJANA KITAIFA JIJINI MWANZA


Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu mhe. Patrobas Katambi akikagua maandalizi ya siku ya vijana kitaifa yatakayofanyika jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha tarehe 8-14/10/2024 ,akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Vijana,Ajira na Watu Wenye Ulemavu mhe. Zuhura Yunus pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mhe.Said Mtanda.
  

Post a Comment

0 Comments