MAMA MKWE KANIFUNGULIA KESI KWAMBA NILITAKA KUMBAKA!
Huku duniani kuna mambo
ukiambiwa unaweza kujiuliza inawezekanaje lakini ukweli ni kwamba mambo hayo
yapo na wanafanywa na ni binadamu ambao kila siku wanaenda kwenye nyumba za
ibada kusali.
Siwezi kusahau miaka mitatu
iliyopita ambapo mama mkwe wangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka
kumbaka akiwa nyumbani kwake jambo ambalo sio la kweli.
Nilikamatwa na kufikishwa
mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande,
baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya
kushinda kesi hiyo.
Mke wangu waliamua kuondoka
nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kula
kuku na mayai yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo
hicho na wala sijawahi kuwa na hata wazo la namna hiyo.
Nilimuomba sana asiondoke
maana hana uwakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema mama yake amemlea na
anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho.
Basi mke wangu aliondoka na
kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa
zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari.
Mtoto wa mjomba yangu
ambaye ni mwanasheria alipata habari hizo na kuja nyumbani kunitembelea, nilimueleza
ukweli wa jambo hilo na kuahidi kuwa ataisimamia kesi hiyo hadi kuhakikisha
nashinda.
Katika maongezi yetu zaidi
aliniambia kuna mtu anaitwa Dr Bokko niwasiliane naye kwani atawezesha sisi
kushinda kesi hiyo kwa urahisi zaidi na amekuwa akiwashauri wateja wake kufanya
hivyo kabla ya kuanza kusimamia kesi zao.
Alichukua simu yake na
kunipatia namba ya Dr Bokko ambayo ni +255618536050, niliwasiliana naye na
kumuomba sana anisaidie niweze kuondokana na aibu hiyo. Basi alinihakikishia
kesi hiyo ni nyepesi sana na nina kwenda kuishinda mchana kweupe siku sio
nyingi.
Ilifika siku ya hukumu na
Jaji akatoa hukumu kuwa sina hatia, siku hiyo mama mkwe wangu hakuwepo
mahakamani bali aliwakilishwa na mwanasheria wake.
Nilifurahi sana kuachiwa
huru maana hapo jina langu linakuwa limesafishwa kutoka mtu ambaye nilioneka
kuwa mbakaji aliyevuka mipaka.
Kilichokuja kunishangaza ni
pale niliporudi nyumbani na kumkuta mke wangu, nilimuuliza mbona umerudi,
akaniambia pole najua umeshinda kesi ila samahani sana.
Nikamuuliza samahani ya
nini tena?, akajibu amebaini kuwa mama yake alinifungulia kesi ya uongo ili
tuachane halafu nikaolewe na mwanaume mwingine ambaye alimuahidi atatoa mahari
kubwa sana.
Mwisho.