Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.
Jina langu ni Julio, kijana
wa miaka 25 ambaye najishughulisha na Ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam,
kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na
kurejea usiku.
Nakumbuka kuna siku katika
pilikapilika zangu ndani ya jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti,
nikakutana na tangazo la Dr Bokko ambalo lilieleza miongoni mwa huduma anazotoa
ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.
Nilitamani sana kujua mtu
mwenye mvuto wa kimapenzi anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba zake ambazo
ni +255618536050 na kumpigia.
Nilimwambia kuwa nahitaji
huduma hiyo. Akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata
matokeo mazuri ajabu maishani mwangu.
Kesho yake wakati nimerudi
nyumbani nilimkuta mama mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike
kwani kwake amepika chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya
kuoga.
Nilipomaliza kuoga nilienda
kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine nikitaka kuja wala
nisigonge bali niingie tu.
Nilikaa kwenye sofa na
akaniletea chakula, cha ajabu alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa
ananipapasa mgongoni, mara akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani
na anaona mwili wangu umechemka sana.
Nilimwambia haina shida
kwani namalizia kula nitatoka nje kwenye upepo.
Baada ya kumaliza kula
sikutaka kuendelea kukaa pale ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia
niendelee kuwa naye maana hana hata mtu wa kuzungumza naye.
Sikujali hilo nilitoka na
kwenda kwenye chumba changu na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze
kulala.
Nilipotoka kuoga nilikuta
SMS yake kwenye simu akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia
niwe mpenzi wake, aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena
kwangu.
Niishiwa nguvu na kujiuliza
maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari.
Aliniambia yeye atakuwa
ananipa fedha za matumizi na chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi
katika nyumba yake bila kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana
nahitaji fedha hizo.
Kiukweli huyu mama mwenye
nyumba ni mzuri sana na mkarimu, mwenyewe natamani sana kuwa naye ila ndio
hivyo nina mpenzi wangu ila hizi ahadi alizonipa ukichanganya na uzuri wake
nashindwa kumkatalia moja kwa moja.
Vijana wa mjini huwa
wanaiita hii ni zali la mentali, leo limenitembelea nami, naweza nikimkubalia
na mpenzi wangu akaja kugundua itakuwaje maana huyu mama mwenye nyumba siwezi
kuja kumuoa wala yeye hawezi kukubali kuolewa na mimi. Je, nifanyaje?, naombeni
ushauri.
Mwisho.