Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI KITANGIRI ATAKA WAPITISHWE VIONGOZI WANAOKUBALIKA


MWENYEKITI wa Kata ya kitangiri Enos Hange Masalu amewataka wawakilishi wa wapiga kura kuchagua viongozi walio sahihi Ili kupata Viongozi bora watakao kipatia ushindi Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.


Hayo yamebainisha Leo jijini Mwanza na Kiongozi huyo  kwa  kuwataka viongozi hao kuondoa Tofauti zao Ili kuweza kupata Viongozi Bora Wanaotokana na Chama hicho.

Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya kitangiri Shaban Ng'wasa amesema wao kama chama wamejipanga Vizuri kuhakikisha Wanasimamia Uchaguzi Ili Chama Cha Mapinduzi kiendelee kushika Dora. 

Alisema jukumu la mshikamano wa pamoja kati ya viongozi na wanachama wa Chama hicho ni mhimu kufanikisha ushindi.





Post a Comment

0 Comments