Tuzo ya mchezaji bora zaidi Duniani (Ballon d’Or) 2024 itatolewa leo tarehe 28.10.2024 katika Jiji la Paris nchini Ufaransa ambapo tuzo hii hutolewa kila mwaka kwa kuzingatia mchango wa mchezaji katika klabu na timu ya taifa.
ORODHA YA WACHEZAJI 30 WA KIUME WALIONGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA TUZO HII.
1. Jude Bellingham (England, Real Madrid)
2. Hakan Çalhanoğlu (Türkiye, Inter)
3. Dani Carvajal (Spain, Real Madrid)
4. Rúben Dias (Portugal, Manchester City)
5. Artem Dovbyk (Ukraine, Dnipro / Girona / Roma)
6. Phil Foden (England, Manchester City)
7. Alejandro Grimaldo (Spain, Bayer Leverkusen)
8. Erling Haaland (Norway, Manchester City)
9. Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund)
10. Harry Kane (England, Bayern Munich)
11. Toni Kroos (Germany, Real Madrid)
12. Ademola Lookman (Nigeria, Atalanta)
13. Emiliano MartÃnez (Argentina, Aston Villa)
14. Lautaro MartÃnez (Argentina, Inter )
15. Kylian Mbappé (France, Paris Saint-Germain / Real Madrid)
16. Martin Ødegaard (Norway, Arsenal)
17. Dani Olmo (Spain, Leipzig / Barcelona)
18. Cole Palmer (England, Manchester City / Chelsea)
19. Declan Rice (England, Arsenal)
20. Rodri (Spain, Manchester City)
21. Antonio Rüdiger (Germany, Real Madrid)
22. Aukayo Saka (England, Arsenal)
23. William Saliba (France, Arsenal)
24. Federico Valverde (Uruguay, Real Madrid)
25. VinÃcius Júnior (Brazil, Real Madrid)
26. Vitinha (Portugal, Paris Saint-Germain)
27. Nico Williams (Spain, Athletic Club)
28. Florian Wirtz (Germany, Bayer Leverkusen)
29. Granit Xhaka (Switzerland, Bayer Leverkusen)
30. Lamine Yamal (Spain, Barcelona)