BARTAZAR WA VIDEO 400 ZA NGONO ASHINDA KESI MAHAKAMANI AJIPANGA KUWASHTAKI WALIOSAMBAZA VIDEO ZAKE

Mahakama Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi alipokuwa akifanya vitendo vya ngono na wanawake zaidi ya 400.

Mahakama imeridhika kuwa akina mama hao walikuwa ni watu wazima wenye maamuzi yao binafsi, vilevile Bartazar hakumwambukiza yeyote kati yao gonjwa la_ zinaa. Vilevile Mahakama imeeleza kiwa, kwa upande mwingine wanaume wengi ambao walikuwa waume wa wanawake hao, wamemshukuru kwa kuwasaidia kujua tabia halisi za wake zao na wengi wameamua kuachana nao rasmi.

Bartazar Anasema Atawashtaki Waliovujisha Video hizo kwa Kumuharibia Faragha yake na kumdharirisha kwa Mke wake na Familia yake na Jamii kwa Ujumla

Previous Post Next Post