DKT NAWANDA AFIKA MAHAKAMANI KUSOMEWA HUKUMU LEO

 

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda  tayari amewasili katika ukumbi wa mahakama kuu ya mwanza kwa ajili ya kusomewa hukumu ya shitaka linalomkabili.

Dkt Nawanda alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9,2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.


Previous Post Next Post