NILIVYOMNASUA MPENZI WANGU KWENYE URAHIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Jina langu ni Chidi, nipo
kwenye mahusiano kwa miaka minne na mpenzi wangu, Sophia, hadi sasa naona tupo
pamoja naamini hakuna kitu ambacho kitakuja kutuachanisha kutokana tumepitia
changamoto nyingi na kuzishinda.
Miongoni mwa changamoto
hizo ni mpenzi wangu kuwa na urahibu wa dawa za kulevya, alijikuta katika janga
hilo kwa bahati mbaya kutokana na aina ya marafiki aliokuwa nao.
Wakati wa Wekiendi
walipokuwa wanatoka kwa ajili ya starehe, rafiki zake walikuwa wanatumia dawa
hizo, hivyo walitumia ujanja wakawa wanamchanganyia kwenye kinywaji hadi akawa
na urahibu wa dawa hizo hatari.
Kuna wakati aliharibikiwa
sana hadi akawa anachukua vitu vyangu ndani anaenda kuuza ili apate fedha ya
kwenda kununua dawa na kukata kiu yake kwa wakati huo. Nilijaribu kumpelekea
kituo cha kulea watu wenye urahibu wa dawa za kulevya lakini baada wiki moja
alitoroka huko na kurejea nyumbani.
Tatizo mimi nilikuwa
sishindi nyumbani kutokana na kazi yangu, ndugu zake wote wapo kijijini, hivyo
mzigo wote ukabaki kuwa wangu, nilijaribu kupita huko na kule kuomba msaada ili
aweze kuachana na dawa hizo bila mafanikio.
Ilifikia wakati nikakataa
kabisa mataa na yeye nikataka kuachana naye, lakini kila ambavyo nikifikiria
jinsi mimi na yeye tumetoka mbali ndivyo ambavyo roho yangu ilikuwa inazidi
kuuma na ukizingatia amejipata katika hali hiyo bila yeye mwenyewe kupenda.
Baada ya kuzunguka sana,
niliweza kukutana na tangazo la Dr Bokko, alieleza kuwa anaweza kumsaidia mtu
aliyeathirika na matumizi ya dawa za kulevya na kuweza kuachana nazo kabisa.
Nilichukua namba yake +255618536050 na kumpigia.
Katika mazungumzo yetu ya
muda mfupi, Dr Bokko alinihakikishia kuwa Sophia atapona kabisa kutoka kwenye
matumizi ya dawa za kulevya.
Niliendelea kugonjea hilo
kutokea kwani ni kitu ambacho nilikitamani sana kukiona kutokana nilimpenda
sana mpenzi wangu na sikuwa tayari kumpoteza kivyovyote vile.
Taratibu Sophia alianza
kurejea kwenye hali yake ya kawaida na kuwa mwanamke mzuri kama hapo awali
alivyokuwa had nikaamua kuwa naye na kumpa nafasi katika moyo wangu.
Hadi sasa mpenzi wangu
amefanikiwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya kwa asilimia 100 hadi
baadhi ya rafiki zake ambao walipitia kipindi kama chake wanashangaa amewezaje
kwa muda mfupi hivyo.
Mwisho.