KWANINI NI VIGUMU KWA WANAWAKE WASOMI KUOLEWA?
Kuna mtu mmoja katika
mtandao wa Twitter aliuliza kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma
zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?.
Swali hilo lilikuwa
likigusa maisha yangu kutokana nilikuwa mwanamke ambaye kila mara nilijikuta
katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa kunio.
Jina langu ni Saumu, nina
shahada mbili ukapande IT, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu
wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 10.
Naweza kusema katika maisha
yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia
upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 40
nilikuwa sijaolewa.
Kila mwanaume niliyekuwa
naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au
akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia.
Baadhi ya watu wanasema
wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu
kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli.
Mimi kama mke nina wajibu
wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa
nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!.
Hata mume wangu wa sasa ni
shahidi katika hilo na mwenyewe anasema
hakutarajia kama ni mtu wa hivyo kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na
aina fulani ya wasiwasi.
Nakumbuka baada ya
mahusiano yangu kama ya nne kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni
baada ya kuona nimefikisha miaka 38 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata
nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.
Katika kutafuta wapenzi
waaminifu katika mtandao, nilijikuta nimeingia kwenye mtandao wa Dr Bokko, hapa
nilipata kufahamu kuwa anaweza kuwasaidia wanawake kupata wanaume kwa muda
mfupi tu.
Hatimaye nilichukua namba
yake ambayo ni +255618536050 na kuwasiliana naye mara moja, Dr Bokko aliniambia
licha ya umri wangu wa miaka 38 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye
viwango.
Nilingojea kwa hamu kuona hilo
likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani
kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.
Jioni moja nikiwa natokea
kazini niliita Uber ije inichukue, kufika yule dereva wa Uber alikuwa ni rafiki
yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.
Yule kaka alifurahi sana
kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila
mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi.
Tulibadilishana namba za
simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.
Wikiendi iliyofuatia
alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila
alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu.
Sikutaka kujirahisisha
kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe
aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.
Nilifurahi sana kusikia
hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote
mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto mmoja.
Mwisho.