Sakata la video 400 limechukua hatua nyingine tofauti, Tetesi zinadai kuwa Mke wa Mkurugenzi Mkuu aliyefutwa kazi wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea, ANIF, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa katika mahusiano ya nje ya ndoa baada ya video moja ya ngono yenye sura yake kusambaa twitter leo asubuhi,
Video hii yenye sura ya Mke wa Baltasar imesambaa twitter na kwenye mitandao ya kijamii Afrika huku wanaume wakiitumia kama njia ya kusema 'Sio tu Mume wake alisaliti ndoa ata Mke wake ni msaliti pia, hakuna aliye innocent kati yao',
Tetesi zingine zina dai kuwa labda wawili hawa walikuwa kwenye Open Marriage yani Ndoa ya wazi, kuwa kila mtu anaweza kuwa na mahusiano nje ya ndoa.