Kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha, Watanzania makini, wenye uzoefu na wanaofaa kujaza nafasi moja (1) iliyoachwa wazi Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS).
- EXECUTIVE DIRECTOR
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 Novemba 2024;