NATEMBEA NDOTO HADI MAJIRANI WANANIITA MCHAWI

Kuna baadhi ya mambo ni vigumu sana ya kuyaelezea kwa watu na ukaeleweka kwa urahisi, hasa pale jambo hilo linapohusisha imani za kishirikiana au uchawi kwani kuna watu hawaamini katika mambo hayo.

Binafsi niliteseka kwa miaka mingi na tatizo la kuota ndoto kisha naamka toka kitandani na kuanza kutembea hadi kwa majirani ambao waliweza kunikamata na hapo ndipo nashtuka kutoka kwenye ndoto.

Nilikuwa naulizwa vipi nilikuwa napata wakati mgumu sana kueleza kwani ndoto huwa haimtoi mtu kitandani ila yangu ilikuwa inafanya hivyo.

Kutokana na tatizo hilo, ndugu zangu walikuwa wanafunga milango na kuficha ufunguo, lakini mimi nikiingia ndoto na kuanza kutembelea niliweza kujua fungua zipo wapi kisha naenda kuzichukua na kuondoka zangu. 

Kutembea usiku maeneo ya nyumbani kulifanya baadhi ya watu kuniogopa sana na kuniita mchawi hali iliyonitesa kisaikolojia, nilijawa  sana na msongo wa mawazo.

Familia  yangu iliweza kuweka mlinzi ili nikiwa natoka usiku aweze kunikamata, kila mara nilipokuwa natoka alikuwa akinikamata na ndipo nashtuka na kurudi ndani kulala.

Yule mlinzi alimfuata mama yangu na kumwambia tatizo langu Dr Bokko anaweza kulitibu mara moja, mama alimuuliza tunawezaje kumpata mtu huyo?.

Ndipo alipompatia namba hizi +255618536050, aliwasiliana naye na kumueleza kuhusu tatizo langu la kutembea usiku katika ndoto.

Dr Bokko alinifanyia tiba na kusema baada ya siku tatu ndipo itakuwa umefika mwisho wa tatizo hilo, nashukuru sana sasa ni zaidi ya miaka miwili sijawahi kuota tena ndoto yoyote mbaya hadi kutembea kama ilivyokuwa mwanzo.

Mwaka jana wakati nakaribia kufunga ndoa kuna watu walimfuata mchumba wangu na kumwambia kuwa mimi ni mchawi ambaye natembea usiku bila kujielewa, hivyo wakataka aachane na mimi mara moja.

Nashukuru mchumba wangu ni mtu muelewa sana, alikuja nyumbani na kuniuliza kuhusu jambo hilo, nami niliamua kumketisha chini na kumueleza ukweli wa maisha yangu na hali hiyo niliyopitia.

Alinielewa na kunihakikishia kuwa atakuwa na mimi daima ingawa watu walizidi kumsakama kwamba anaenda kuolewa na mchawi.

Maneno hayo yalinifanya kuingiwa na hofu kuwa huwenda hali hiyo ikarejea pindi nitakapofunga ndoa, lakini sasa ni mwaka mmoja wa ndoa kila kitu naona kipo shwari na mke wangu ananiambia hajawahi kuniona hata nikishtuka ndotoni.

Mwisho.

Previous Post Next Post