Ukweli ni kwamba warahibu wengi wa uvutaji Sigara wanatamani kuondoka katika mtindo huo wa maisha lakini wanashindwa, sio kazi rahisi hata kidogo, ukiona mtu amefanikiwa ni jambo la kumpongeza sana.
Nasema hivyo kwa sababu
mimi ni mmojawapo wa watu waliopitia changamoto hiyo miaka ya nyuma, nilitamani
kuacha lakini nikashindwa, hadi nikatumia na dawa mbalimbali ila sikufanikiwa.
Jina langu ni Moses kutokea
Kilimanjaro, Tanzania, nilianza kuvuta sigara tangu kipindi nipo kidato cha
nne, nilikuwa navuta kwa siri bila hata familia yangu kujua.
Nilipomaliza Shule nilianza
maisha ya kujitegemea, katika ghetto langu ndipo urahibu wangu kuvuta sigara
ulipoanza hasa, kila siku nililiwa navuta sigara zaidi tano hadi kuna wakati
nikawa nasikia kifua kinawaka moto na kuuma.
Maumivu ya kifua kila mara
ndio hasa yalipelekea nifikirie kuachana na uvutaji Sigara lakini kila ambapo
nilikuwa najaribu nilikuwa nashindwa.
Basi nilianza kutafuta dawa
za kuacha sigara sehemu mbalimbali, niliweza kupata za aina ladhaa na kuzinunua
na kuzitumia kwa muda mrefu lakini hali ilizidi kuwa mbaya, ningeweza kuacha
kama siku mbili lakini ya tatu kiu ya Sigara inakuwa ni kubwa sana na kujikuta
nimevuta.
Siku moja nikiwa Bar
nakunywa huku navuta sigara yangu, mtu mmoja wa karibu yangu aliniambia kuwa
akisikia harufu ya Sigara anajisikia vibaya sana ingawa mwanzo naye alikuwa
mvutaji.
Aliniambia aliweza kuacha
sigara baada ya kupata dawa kutoka kwa Dr Bokko, nilifurahi kusikia habari ile
masikioni mwangu wakati ule, nilimuomba namba yake na kunipatia. Niliweza
kuwasiliana naye na alinitumia dawa ambyo ndio iliweza kuniondoa kwenye uvutaji
wa baada ya miaka 21.
Huu ni mwaka wa pili sasa
sijavuta sigara na kila nikisikia harufu yake najisikia vibaya. Wasiliana na Dr
Bokko kwa namba +255618536050 ili kupata huduma yako.
Mwisho.