Sitapenda kutaja jina langu na mahali ninapotokea kutokana na aina ya simuzi yangu, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi.
Kiukweli huko nilikumbana
na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na
kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia
kidogo.
Nakumbuka changamoto
nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kondomu au mwingine anaivaa
kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi.
Ukweli jambo hilo lilikuwa
likinikera kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana sikuwa na jinsi ya
kupata fedha kwa wakati huo ambapo maisha yalikuwa yamenishika kisawa sawa!.
Sasa baada ya muda nilianza
kuugua ugonjwa wa Kisonono, nilienda hospitali ambapo nilifanyiwa vipimo hivyo
na kupatiwa dawa za kutumia, lakini cha ajabu ugonjwa ule ulikuwa inaisha na
baada ya muda kigodo unaanza tena.
Nakumbuka kila nikipona na
kurejea kwenye kazi yangu hazikupita siku mbili naanza kuumwa tena, hivyo
narudi tena hospitali kwa ajili ya dawa, nakumbuka nilitumia dawa za kila aina
hadi ikafikia hatua Dokta akaniambia ugonjwa wangu umekuwa sugu, hausikii tena
dawa.
Yaani jambo hilo lilinipa
sana msongo wa mawazo maana nilikuwa nikiwashwa sana sehemu za siri na mwili
kuishiwa nguvu, nilitafuta dawa za mitishamba na kitumia lakini sikuweza
kupona.
Kupona kwangu ni baada ya
kupata dawa kutoka kwa Dr Bokko ambaye ni rafiki yangu alinielekeza kwake, bila
uwoga naweza kusema bila yeye hadi sasa ningekuwa nateseka na ugonjwa huo ambao
hata ni aibu kuutaja mbele za watu maana unaweza kuonekana ni malaya.
Sasa baada ya kupona
niliamua kuachana na kazi ya ukahaba na sasa nimeajiriwa kwenye moja ya saloni
iliyopo katikati ya mjini na ndipo nafanya kazi zangu na kweli napata fedha
halali ambazo zinanisaidia kuendesha maisha yangu. Unaweza kuwasiliana na Dr
Bokko kwa namba +255618536050.
Mwisho.