WAZIRI MKUU ASHUHUDIA HALI YA UOKOAJI KARIAKOO





Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipeana mkono na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi, wakati alipotembelea eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa, jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albart Chalamila, alipotembelea eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwonekano wa jengo la gorofa lililoporomoka eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, wakati alipotembelea eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi kufuatia kuporomoka kwa jengo la gorofa jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafaniliwa jambo na Mkuu wa Kitengo cha Dharura MOI, Dkt. Juma Mfinanga, wakati akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliyookolewa katika gorofa lililoporomoka eneo la kariakoo mtaa wa mchikichi Shukuru Juma, jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous Post Next Post