Kuwa na makazi mazuri ni sehemu ya mambo matatu ya muhimu (basic needs) kwa binadamu yeyote ukiachilia mbali chakula na mavazi, hivyo katika kutafuta kwangu maisha, nilijitahidi sana niweze kujenga nyumba.
Hiyo ni kwa sababu wazazi
wangu wenyewe hawakuwahi kuwa na nyumba yao hadi tunazaliwa na kuwa watu
wazima, nao walitulea kwenye nyumba hizo za kupanga toka tunazaliwa hadi tukawa watu wazima na kuanza kujitemea na
kufanya maisha yetu.
Siku zote ndoto yangu
ilikuwa ninunue shamba halafu nijenge nyumba ili wazazi wangu waje kuishi hapo
na baadaye nijenge hapo pembeni nyumba yangu na familia yake.
Kwa kweli sikupenda kuona
wazazi wangu wanafikia hatua ya uzee wakiwa kwenye nyumba za kupanga kwani
itafikia muda watakosa nguvu za kufanya kazi na watashindwa kulipa kodi.
Hatimaye nilifanikiwa
kununua shamba heka moja na mara moja nilianza ujenzi kutokana nilikuwa
nimejipanga kisawasawa, mafundi walifanya kazi usiku na mchana hadi kazi hiyo
ikaisha na nami na wazazi wangu tukahamia katika nyumba hiyo.
Hata hivyo, siku moja
nikiwa nyumbani, alijitokeza mtu mmoja na kudai eneo lile shamba ni la kwake
pia, nilimwambia nina hati ya kumiliki ardhi hiyo naye akasema anayo pia,
nilipojaribu kuulizia kwa mtu aliyeniuzia akasema siyo kweli, huyo ni tapeli.
Baada ya wiki kama mbili,
mtu yule naye akaleta vifaa na mafundi mara moja ili kuanza ujenzi, jambo hilo
lilinichanganya sana hasa pale niliposikia mtu huyu ana nguvu kubwa kifedha,
huvyo anaweza kusema mimi ndio nimevamia eneo lake.
Kwa kutambukua uzito wa
jambo hilo, niliamua kuwashirikisha ndugu zangu kadhaa ili wanipe ushauri wa
kufanya, sitomsahau rafiki yangu Moses aliyenipatia namba ya Dr Bokko, nilipiga
na kuwasiliana naye na kumuomba ananifanyie dawa ya kuondoa tatizo hilo.
Basi, Dr Bokko aliniambia
ndani ya siku tatu nitapata majibu sahihi, lakini kabla ya siku tatu kuisha
nilipigiwa simu na kuambiwa
yule aliyevamia eneo langu
amepata ajali mbaya ya gari na kwamba amelezwa Hospitali, licha ya kuwa alikuwa
amenitendea ubaya, kweli kama binadamu nilishtuka sana.
Alikaa Hospitali kwa muda
mrefu sana, zaidi ya miezi miwili, akiwa huko alituma watu waje nyumbani
kuniomba msamaha kwa kile alichonifanyie na kuahidi hataendelea na ujenzi huo.
Nami niliamua kumsamehe na
sasa naendelea vizuri na maisha yangu na tayari nimejenga nyumba yangu ya pili.
Kwa mengi zaidi wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.
Mwisho.