ASKOFU MWADHAMA KARDINALI RUGAMBWA AZUNGUMZA NA BALOZI NCHIMBI

 


Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Mazungumzo hayo yalifanyika Ijumaa, Desemba 20, 2024, wakati Balozi Nchimbi alipofika kumsalimia Kardinali Rugambwa, ofisini kwake, Uaskofuni, mjini Tabora,
Previous Post Next Post