Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu, leo ataongoza Misa ya mkesha wa Krismasi katika Parokia ya Mtakatifu John-Bariadi, mkoani Simiyu.
Misa hiyo itaanza saa 3:00 usiku.
Kesho Jumatano, Askofu Sangu ataongoza Misa ya Krismasi katika Parokia ya Mtakatifu Luka-Bariadi hukohuko mkoani Simiyu, ambayo itaanza saa 4:00 asubuhi.
Misa zote zitarushwa Live kupitia ukurasa huu wa Facebook.