MAELFU YA WANANCHI WARIPOTI CHANGAMOTO KATIKA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII FACEBOOK, INSTAGRAM NA WHATSAPP

Idadi kubwa ya Watumiaji wa Mitandao wa kijamii ya Instagram, Facebook na Whatsapp katika sehemu mbalimbali duniani, wameripoti kukumbana na hitilafu zilizopeleka kushindwa kufanya chochote kwenye mitandao hiyo.

Kampuni inayohusika na mitandao hiyo bado haijatoa taarifa yoyote kuhusu hitilafu hiyo lakini tovuti ya down detector imepokea maoni ya Watumiaji zaidi ya elfu 60 ambao wamesema wameshuhudia hitilafu pale walipotaka kutumia kurasa zao za Instagram.

Watumiaji wengi wamekuwa wakikutana na ujumbe unaosema "something went wrong' na wengine wamekutana na ujumbe "upload failed".

Previous Post Next Post