DAWA NDIO ILIYONITOA JELA
BAADA YA KUFUNGWA KWA KOSA LA UONGO!
Ukweli ni kwamba sio kila aliyejela ametenda kosa, wapo wengi
wamefungwa vifungo virefu jela kwa mambo ya kusingiziwa na kufungwa kutokana
pengine waliofanya hivyo walitoa rushwa ambayo ni adui ya haki.
Nasema jambo hilo nikiwa na ushahidi wa kutosha na uzoefu kwa
sababu niliwahi kupitia hilo, nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa kuwa nimevunja
duka la mtu na kuiba kitu kitu ambacho hakikuwa kweli.
Asubuhi moja nikiwa katika eneo langu la kazi nilishangaa
Polisi wakija na kunikamata, nilishtuka na nilipouliza tatizo ni nini hasa?.
Waliniambia kuwa nitaenda kujieleza huko mbele ya safari, basi
nilifikishwa kituo cha Polisi na baada ya siku mbili, nilifikishwa Mahakamani
na kufunguliwa mashtaka ya wizi.
Nilikana mashtaka yote yaliyonikabili, niliambiwa kuwa nimeiba
fedha na mali katika duka lile ambalo kiukweli nilikuwa na muda mrefu tangu
niende hapo kupata huduma, siwezi kusahau jinsi ambavyo nilipitia maumivu
makali kihisia.
Kwangu maisha yalikuwa ni magumu sana maana sikuweza kupata
dhamana, hivyo kila kesi yangu ilipotajwa nilitolewa mahabusu na kuletwa
Mahakamani, asikuambie mtu maisha ya mahabusu ni magumu sana, siwezi hata
kusimulia jinsi yalivyo.
Kumbe huo ulikuwa ni mwanzo tu, picha kamili lilianza pale
ambapo nilisomewa hukumu na kuhukumiwa jela miaka sita, ilikuwa ni siku mbaya
sana kuwahi kutokea maisha mwangu, nilichukulia na kupelekwa Jela kuanza
kutumilkia kifungo changu.
Nikiwa Jela na nimeshapoteza matumaini ya maisha, alikuja
rafiki yangu kunitembelea na kuniambia kuwa Dr Bokko anaweza kunisaidia
kushinda kesi hiyo, hivyo nachotakiwa ni kumwambia wakili wangu akate rufaa ya
kesi hiyo.
Siku iliyofuata Wakili wangu alikuja Jela kunitembelea na
kuniambia ameshapata nakala ya hukumu, nilimwambia kuwa akate rufaa kwani
rafiki yangu ananifuatilia dawa kwa Dr Bokko, hivyo nitaweza kushinda kesi
hiyo.
Basi alikata rufaa na hukumu ilipokuja kupitiwa upya, ilikuja
kubainika kuwa sikuwa na hatia yoyote, hivyo nikaachiwa huru, binafsi
namshukuru sana Dr Bokko kwa tiba yake ya ajabu. Mpigie kwa namba +255618536050.
Mwisho.