1. Jumanne, 10 Desemba 2024
o MAHANDO VS MWASENGE
2. Jumatano, 11 Desemba 2024
o SALAWE STARS VS MWABENDA FC
3. Alhamisi, 12 Desemba 2024
o NUSU FAINALI:
§ Mshindi wa mechi ya Jumamosi (07.12.2024) VS Mshindi wa mechi ya Jumapili (08.12.2024)
4. Ijumaa, 13 Desemba 2024
o NUSU FAINALI:
§ Mshindi wa mechi ya Jumanne (10.12.2024) VS Mshindi wa mechi ya Jumatano (11.12.2024)
5. Mapumziko:
o Jumamosi na Jumapili, 14 - 15 Desemba 2024
6. Jumatatu, 16 Desemba 2024
o Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu
7. Jumanne, 17 Desemba 2024
o FAINALI KUU
Kila la heri kwa timu zote! 🎉
Mashindano hayo yameandaliwa na Makamba Mussa Lameck kupitia kampuni yake ya MCL inayojihusisha na biashara ya nafaka, kwa lengo la kuibua vipaji vya michezo mkoa wa Shinyanga na maeneo jirani.