WAZIRI DKT. GWAJIMA AKEMEA TUKIO LA MTOTO WA CHIEF GODLOVE KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA

Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na makundi maalum Dkt. Dorothy Gwajima (mb) amesikitishwa na kitendo kilichofanywa kwa mtoto Grayson kwa kuawa kikatili na watu wasiojulika huku akiwataka wazazi kuwa makini kwenye Ulinzi na Usalama wa watoto wao.

Kwa mujibu wa chapisho lililotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi maalum limeeleza kuwa tafiti zinaonesha kuwa ndugu, jamaa na watu wa karibu ndiyo wanaoongoza kufanya ukatili.




Previous Post Next Post