Kuwa na makazi mazuri ni sehemu ya mambo matatu ya muhimu (basic needs) kwa binadamu yeyote ukiachilia mbali chakula na mavazi, hivyo katika kutafuta kwangu maisha, nilijitahidi sana niweze kujenga nyumba.
Hiyo ni kwa sababu wazazi wangu wenyewe
hawakuwahi kuwa na nyumba yao hadi tunazaliwa na kuwa watu wazima, nao
walitulea kwenye nyumba hizo za kupanga toka tunazaliwa hadi tukawa watu wazima
na kuanza kujitemea na kufanya maisha yetu.
Siku zote ndoto yangu ilikuwa
ninunue shamba halafu nijenge nyumba ili wazazi wangu waje kuishi hapo na
baadaye nijenge hapo pembeni nyumba yangu na familia yake.
Kwa kweli sikupenda kuona wazazi wangu
wanafikia hatua ya uzee wakiwa kwenye nyumba za kupanga kwani itafikia muda
watakosa nguvu za kufanya kazi na watashindwa kulipa kodi.
Hatimaye nilifanikiwa kununua
shamba heka moja na mara moja nilianza ujenzi kutokana nilikuwa nimejipanga
kisawasawa, mafundi walifanya kazi usiku na mchana hadi kazi hiyo ikaisha na
nami na wazazi wangu tukahamia katika nyumba hiyo.
Hata hivyo, siku moja nikiwa nyumbani,
alijitokeza mtu mmoja na kudai eneo lile shamba ni la kwake pia, nilimwambia
nina hati ya kumiliki ardhi hiyo naye akasema anayo pia, nilipojaribu kuulizia
kwa mtu aliyeniuzia akasema siyo kweli, huyo ni tapeli.
Baada ya wiki kama mbili, mtu yule
naye akaleta vifaa na mafundi mara moja ili kuanza ujenzi, jambo hilo
lilinichanganya sana hasa pale niliposikia mtu huyu ana nguvu kubwa kifedha,
huvyo anaweza kusema mimi ndio nimevamia eneo lake. Kwa kutambukua uzito wa
jambo hilo, niliamua kuwashirikisha ndugu zangu kadhaa ili wanipe ushauri wa
kufanya, sitomsahau rafiki yangu Moses aliyenipatia namba ya Dr Bokko, nilipiga
na kuwasiliana naye na kumuomba ananifanyie dawa ya kuondoa tatizo hilo.
Basi, Dr Bokko aliniambia ndani ya siku tatu
nitapata majibu sahihi, lakini kabla ya siku tatu kuisha nilipigiwa simu na
kuambiwayule aliyevamia eneo langu amepata ajali mbaya ya gari na kwamba
amelezwa Hospitali, licha ya kuwa alikuwa amenitendea ubaya, kweli kama
binadamu nilishtuka sana.
Alikaa Hospitali kwa muda mrefu
sana, zaidi ya miezi miwili, akiwa huko alituma watu waje nyumbani kuniomba
msamaha kwa kile alichonifanyie na kuahidi hataendelea na ujenzi huo.
Nami niliamua kumsamehe na sasa
naendelea vizuri na maisha yangu na tayari nimejenga nyumba yangu ya pili. Kwa
mengi zaidi wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.Mwisho.