DAWA YA MWANAUME ANAYEMKATAA MTOTO!
Naitwa Mama Jimmy, mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.
Unajua hakuna jambo
huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda
hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa
sana katika nyoyo za watoto.
Binafsi nilishindwa kuelewa
nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini
nijakaja kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu
kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.
Hali hiyo iliniumiza sana
kiasi ambacho nilianza kulia machozi, kama ni hivyo kwanini asingeongea na mimi
kwanza, kwanini akanitangaze huko nje.
Aliporejea nyumbani
sikutaka hata salamu yake, hapo hapo nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema
ameongea ukweli kabisa.
Siwezi kusahau, ugomvi
ulikuwa mkubwa kiasi hadi majirani waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira
maana jambo hilo nilikua sio la kweli, hadi wazazi waliingilia kati lakini
hakuna suluhu iliyopatikana.
Mwisho wa siku ukoo uliamua
kila mmoja alale chumba chake maana hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna
watoto wengine.
Licha ya kulala kila mtu
chumba chake, bado migogoro ndani haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga
sana huyu mtoto wa mwisho kiasi kwamba roho yangu iliniuma sana.
Mgogoro huu uliendelea hadi
mtoto huyu anafikisha miaka sita, ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi
mahakamani.
Mahakama iliamuru Baba na
mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo majibu yalionyesha mume wangu ni Baba
halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio wake.
Hata hivyo, mume wangu
hakuridhika na majibu hayo na kusema si ya kweli jambo ambalo sikutegemea,
nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa shwari.
Siku moja nikiwa ofisini
nilichukua gazeti nililolikuta juu ya meza yangu na kuanza kulipitia, ndipo
nilipokutana na Dr Bokko ambaye naweza kusema ndiye ameiponya ndoa yangu na
kurejesha furaha iliyopotea kwa miaka sita.
Nakumbuka tangazo lake
gazetini lilieleza kuwa anaweza kusuluhisha migogoro ya ndoa ndani ya siku
tatu, nilishawishika kuchukua namba
yake, niliwasiliana naye na kumueleza kila kitu ambacho kinanisumbua.
Ukweli ni kwamba kuwa tangu
tangu nimewasiliana naye, ugomvi ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu
aliamua kuitisha kikao cha ukoo na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri
kuwa yule ni mtoto wake halali kabisa.
Kumbuka pia Dr Bokko
anaweza kukufanya kuwa na bahati maishani mwako, kushinda kesi, kuondoa
migogoro ya ardhi na mengineo. Mpigie kwa namba +255618536050.
Mwisho.