MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE











Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Viongozi wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Jaji wa Mahakama
ya Rufani Mhe. Barke Sehel, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 08 Januari 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Jaji wa
Mahakama ya Rufani Mhe. Barke Sehel (Watatu kutoka kushoto), mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 08 Januari 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Viongozi wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Jaji wa Mahakama ya Rufani
Mhe. Barke Sehel (wa kwanza kutoka kushoto), mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 08 Januari 2025
Previous Post Next Post