RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHAMWINO DODOMA






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 16 Januari, 2025.
Previous Post Next Post