USIKU WA WADAU SHINYANGA

USIKU WA WADAU SHINYANGA

📅 Tarehe: 01 Februari 2025
📍 Ukumbi wa Makindo, Shinyanga
⏰ Saa 12:00 jioni – Saa 6:00 usiku

🌟 Hafla Maalum ya Kuwatambua Wadau Shupavu
👉 TUZO, Hati za Pongezi na Heshima kwa wadau kutoka Shinyanga DC, Manispaa ya Shinyanga, na Kishapu.

💎 Furahia:
1. Mahusiano ya kibiashara (Networking).
2. Nafasi ya kutangaza chapa yako.
3. Chakula cha jioni na vinywaji vya kipekee.
4. Burudani za kiwango cha juu.

🎟️ KIINGILIO:
1. 📶VIP Single: TZS 50,000
2. 📶VVIP: TZS 100,000
3. 📶Meza ya VVIP (Watu 5): TZS 500,000
4. 📶Meza ya VVIP (Watu 12): TZS 1,000,000


🔗 JINSI YA KULIPIA
✅ Lipa Namba Voda: 57845152 (Jina: HOLYSMILE)
✅ Akaunti ya NMB: 30610057561 (Jina: HOLYSMILE)

📞 Weka nafasi yako sasa! Simu: 0756254146
Tukutane tukisherehekea mafanikio na ushujaa! 🎉

Previous Post Next Post