WAZIRI RIDHIWANI KIKWETE AWASILISHA TAARIFA ZA UTENDAJI WA SERIKALI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete Januari 20, 2025 amewasilisha taarifa za utendaji wa serikali kuhusu idara na vitengo vya ofisi ya @WMKVAU mbele ya Kamati ya @bunge_tz ya Maendeleo ya Jamii, kwenye Ukumbi wa Mkutano Bungeni, Dodoma. 
##kaziinaendelea






Previous Post Next Post