Chama Cha Mapinduzi Kupitia Jumuiya ya Wazazi kata ya Kagongwa
wanayo
Furaha Kukualika Mwana CCM Kuhudhuria Tukio kubwa la Jumuiya ya Wazazi kata ya Kagongwa
Tukio la Uzinduzi wa Mradi wa Viti waliobuni viongozi wa Jumuiya hiyo, utaweza kukisaidia Chama na jumuia zake katika Shughuli mbali mbali.
Mgeni rasmi wa Tukio hilo ni Ndg John Siagi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Shinyanga
Hivyo nyote mnakaribishwa, tuungane pamoja.
Imetolewa na;
Comred Tausi Magalula
katibu wa Jumuiya ya Wazazi kata ya Kagongwa
Post a Comment