Na Belnardo Costantine, Misalaba Media
RAIS wa zamani wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo " DRC" Joseph Kabila.
Amesema mgogoro unaondealea Mashariki mwa DRC nakusababisha waasi wa "M23" kutoka maji wa goma na maeneo mengine nchini humo, unatokana na utawala mbovu wa serikali ya Tshisekedi.
KABILA Ametoa lawama hizo wakati wa mahojiano na Gazeti la Afrika Kusini la "Sunday Times" jana Jumapili Februari 23, .
Gazeti la "Sunday Times" lilimunukuu Kabila Kwa kusema
"Huu mgogoro ni wa usalama na wa kibinadamu, lakini hasa wa kisiasa, kijamii, kimaadili na sera."
Amesema wa Rais huyo wa zamani ambaye ndiye mtangulizi wa Rais Tshekedi
Post a Comment