Mkurugenzi wa MISALABA MEDIA, Mapuli Kitina Misalaba, sasa ni sehemu ya familia ya Gold FM Tanzania, kituo cha redio kinachorusha matangazo yake katika mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Mapuli Misalaba atahudumu kama Mwandishi wa Habari na Mtangazaji, akihusika zaidi na habari pamoja na vipindi hasa kutoka Manispaa ya Shinyanga na maeneo jirani.
Pamoja na majukumu yake Gold FM, ataendelea pia kusimamia shughuli za mtandao wake wa habari, MISALABA MEDIA.
Gold FM inasikika Wapi?
Gold FM inapatikana katika mikoa mbalimbali kupitia masafa yafuatayo:
✅ Shinyanga - 88.7 FM
✅ Kahama - 88.7 FM
✅ Simiyu - 90.7 FM
✅ Geita - 94.5 FM
✅ Mwanza - 94.5 FM
✅ Tabora - 102.5 FM
✅ Kagera - 106.5 FM
✅ Mara - 88.5 FM
✅ Kigoma - 102.1 FM
Mawasiliano
Kwa wakazi wa Shinyanga wenye matangazo au taarifa muhimu zinazohitaji kusikika kupitia Gold FM, unaweza kuwasiliana na Mapuli Misalaba kupitia:
📞 0745 594 231
Gold FM – Sauti ya Dhahabu
Post a Comment