" MBUNGE JESCA KISHOA ATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA NKINTO

MBUNGE JESCA KISHOA ATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA NKINTO

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida, Mh. Jesca Kishoa, ametoa taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nkinto, wilayani Mkalama, ili kuwawezesha kuhudhuria masomo bila changamoto wakati wa siku zao.

Uongozi wa shule hiyo umetoa shukrani za pekee kwa mbunge huyo kwa kusaidia kuhakikisha wanafunzi wa kike wanakuwa na hedhi salama, hatua inayowasaidia kuzingatia masomo yao bila vikwazo.

 






Post a Comment

Previous Post Next Post