" MIRADI YA MAJI YAMKOSHA MWENYEKITI WA HALMASHAURI KWIMBA

MIRADI YA MAJI YAMKOSHA MWENYEKITI WA HALMASHAURI KWIMBA


MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Thereza Lusangija ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Utekelezaji mkubwa wa miradi ya Maji katika eneo hilo.

Alisema hayo hivi karibuni wilayani hapo kutokana na kukamilika kwa miradi mbalimbali ya maji kwenye halmashauri hiyo na hivyo kumtua ndoo ya maji kichwani Mwanamke.

Lusangija alisema Rais Samia amefanya makubwa katika sekta ya maji na hivyo hana deni kwa Wananchi wa eneo hilo hivyo atapata kura nyingi kutokana na aliyofanya.



Post a Comment

Previous Post Next Post