UTEUZI
Mwenyekiti wa SMAUJATA Taifa shujaa Dr. Sospeter Bulugu amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa nafasi za wenyeviti, makatibu na wakuu wa idara SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga kama ifuatavyo:
UONGOZI WA MKOA
Nabila Kisendi – Mwenyekiti
Vicenti B. Kanyogote – Makamu Mwenyekiti
Steven Sospeter – Naibu Katibu
VIONGOZI WA IDARA
Idara ya Watu Wenye Ulemavu
Richard J. Mpongo – Mwenyekiti
Rehema Mkengele – Katibu
Idara ya Sheria na Katiba
Adv. Shaban Abdul Mvungi – Mwenyekiti
Wakili Rose Wilbard – Katibu
Idara ya Afya
Dr. Yohana M. Bunzali – Mwenyekiti
Haika Matemba – Katibu
Idara ya Nidhamu na Maadili
Solomoni Najulwa Nalinga – Mwenyekiti
Peter Bubinza Mangalu – Katibu
Idara ya Itifaki, Uenezi na Uanachama
Hakimu Mwarabu – Mwenyekiti
Tumain Ezekiel Mchiwa – Katibu
Idara ya Maafa
Mch. Esther Emmanuel Mashori – Mwenyekiti
Hassan Baruti Hamis – Katibu
Idara ya Jinsia
Alkwin Selestino Willa – Mwenyekiti
Eunice Manumbu – Katibu
Idara ya Habari na Mawasiliano
Mapuli Kitina Misalaba – Mwenyekiti
Suleiman Abedi - Katibu
Idara ya Uchumi na Mipango
Shida T. Siyengo – Mwenyekiti
Lucas Daudi – Katibu
Idara ya Mifumo na Teknolojia
Shaban Alley Juma – Mwenyekiti
Renatus Robert George – Katibu
Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji
George Ntemi – Mwenyekiti
Yohana Peter – Katibu
Mr. Nzemo - Mjumbe
Idara ya Mazingira
Frank Dickson Msangi – Mwenyekiti
Saraphina Benua Samson – Katibu
Idara ya Vijana, Hamasa na Mahusiano ya Kimataifa
Leonard J. Mapolu – Mwenyekiti
Angelina Makaka – Katibu
Idara ya Mila na Desturi
Hamad Ramadhan Seleman – Mwenyekiti
Yuel N. Mnyonge – Katibu
Idara ya Elimu
Leah Nchenya Ndongo – Mwenyekiti
Michael Leonard Kasoni – Katibu
Idara ya Saikolojia na Elimu kwa Umma
Lydia Mwamsiku – Mwenyekiti
Shamika Hilaly Juma – Katibu
Idara ya Michezo, Sanaa na Burudani
Christopher Mundeda– Mwenyekiti
James Onyango Meshack – Katibu
Uteuzi huu bado unaendelea na viongozi wengine watatangazwa kadri mchakato unavyoendelea
Post a Comment