" RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI AU

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI AU







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kwenye ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 15 Februari, 2025.

Post a Comment

Previous Post Next Post