" RAIS SAMIA AWEKA JIWW LA MSINGI UPANZI WA MSIKITI MKUU WA TANGA

RAIS SAMIA AWEKA JIWW LA MSINGI UPANZI WA MSIKITI MKUU WA TANGA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Post a Comment

Previous Post Next Post