TABORA UNITED YAPOTEZA NYUMBANI IKICHAPWA 3-0 NA SIMBA SC
Map
0
Ushindi huu umewawezesha kufikisha pointi 43, na hivyo kupita Yanga ambayo ina pointi 42, huku timu zote zikiwa na michezo 16.
Leonel Ateba alifunga magoli mawili, na Shomari Kapombe alifunga moja, wakichangia kwa kiasi kikubwa kuiletea Simba ushindi huu muhimu.
Kwa upande mwingine, Tabora United, ambayo iliifunga Yanga 3-1, inabaki na alama 25, ikikalia nafasi ya tano katika msimamo wa ligi.