Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bi. Doris Yotham Kibabi, anawalika katika Kongamano la Maadili litakalofanyika tarehe 25 Februari 2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Lyakale Hotel.
Kongamano hili litajadili mada muhimu zifuatazo:
✅ Rushwa
✅ Utawala Bora
✅ Malezi na Makuzi
✅ Uwekezaji na Uchumi
✅ Elimu
✅ Mazingira
✅ Uhai wa Chama na Jumuiya zake
Usikose fursa hii muhimu.
Post a Comment