" UKRAINE YA KUBALI KUTOA MADINI KAMA FIDIA YA MSAADA WA KIJESHI WA MAREKANI.

UKRAINE YA KUBALI KUTOA MADINI KAMA FIDIA YA MSAADA WA KIJESHI WA MAREKANI.


Na Belnardo Costantine, Misalaba Media 

 Ukraine na Marekani zimekubaliana kushirikiana kwenye masuala ya madini na mkataba kuhusu hilo unatarajiwa kutiwa saini kati ya rais Donald Trump na Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, jijini Washington DC.

Ripoti zinasema mkataba huo utaiwezesha Marekani kupata madini mbalimbali kutoka ukraine na kutumia fursa hiyo kama malipo ya msaada wa fedha na vifaa vya jeshi ambao Washington imekuwa ikitoa kuisaidia Kiev kwenye vita dhidi ya Urusi ambavyo vinaendelea nchini Ukraine



Post a Comment

Previous Post Next Post