Na Mapuli Kitina Misalaba
Benki ya CRDB inaendelea na kampeni yake kubwa ya TUPO MTAANI KWAKO, ikilenga kuwafikia wananchi
moja kwa moja kwa kutoa elimu kuhusu huduma zake, hususan LIPA HAPA, ambayo inawawezesha wafanyabiashara kupokea malipo
kutoka benki na mitandao yote ya simu kwa urahisi.
Meneja wa Kanda ya
Magharibi wa CRDB, Jumanne Wagana, amesema kampeni ya mwaka huu imepata
mwitikio mkubwa na imepanuka zaidi kuliko miaka iliyopita. "Kampeni hii ni
sehemu ya dhamira yetu ya kuwa karibu na wateja wetu. Tumejipanga kufika katika
kila kona ya Shinyanga Manispaa na kisha kuendelea na safari yetu kuelekea
Kahama na mikoa mingine ya Kanda ya Magharibi," amesema Wagana.
Msafara wa magari zaidi
ya 10 umeshawasili Shinyanga, ukiwa na timu ya wataalamu wa CRDB waliopo tayari
kusaidia wananchi kufahamu namna ya kutumia huduma za benki kwa ufanisi.
"Tunahamasisha wafanyabiashara kutumia LIPA
HAPA kwa kuwa ni huduma ya bure inayorahisisha upokeaji wa malipo ya
kibenki na mitandao yote ya simu, hivyo kumpunguzia mteja usumbufu wa kubeba
pesa taslimu," ameongeza Wagana
Wananchi wa Shinyanga wanahamasishwa kufuatilia
msafara huu ili kupata huduma na maelezo ya kina kuhusu huduma za CRDB.

Benki ya CRDB inaendelea na kampeni yake kubwa ya TUPO MTAANI KWAKO, ambapo leo yamefanyika
matembezi ya amani ya mtaa kwa mtaa katika Manispaa ya Shinyanga yameongozwa na
viongozi mbalimbali ikiwemo Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la
Shinyanga Luther Mneney pamoja na Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi.
Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, akiongoza kambeni ya “TUPO MTAANI KWAKO”, leo Machi 6, 2025
Mkoani Shinyanga.

Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, upande wa kushoto akiongoza kambeni ya “TUPO MTAANI KWAKO”, leo Machi 6, 2025
Mkoani Shinyanga.

Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, katikati akiongoza kambeni ya “TUPO MTAANI KWAKO”, leo Machi 6, 2025
Mkoani Shinyanga.
Benki ya CRDB inaendelea na kampeni yake kubwa ya TUPO MTAANI KWAKO, ambapo leo yamefanyika
matembezi ya amani ya mtaa kwa mtaa katika Manispaa ya Shinyanga yameongozwa na
viongozi mbalimbali ikiwemo Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la
Shinyanga Luther Mneney pamoja na Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi.
Benki ya CRDB inaendelea na kampeni yake kubwa ya TUPO MTAANI KWAKO, ambapo leo yamefanyika
matembezi ya amani ya mtaa kwa mtaa katika Manispaa ya Shinyanga yameongozwa na
viongozi mbalimbali ikiwemo Meneja wa Kanda ya Magharibi wa CRDB, Jumanne
Wagana, Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la
Shinyanga Luther Mneney pamoja na Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi.
Mtaalamu wa CRDB akimsaidia mwananchi kufahamu namna
ya kutumia huduma za benki kwa ufanisi leo Machi 6, 2025 ikiwa ni sehemu ya
kampeni ya “TUPO MTAANI KWAKO”.

Wataalamu wa CRDB wakiwasaidia wananchi kufahamu namna ya kutumia huduma za benki kwa ufanisi leo Machi 6, 2025 ikiwa ni sehemu ya kampeni ya “TUPO MTAANI KWAKO”.
Wataalamu wa CRDB wakiwasaidia wananchi kufahamu namna

Post a Comment