" BREAKING: MOTO MKUBWA WATEKETEZA MABANDA YANAYOUZA NA KUTENGENEZA SAMANI ZA MBAO KATIKATI MJI WA MOROGORO

BREAKING: MOTO MKUBWA WATEKETEZA MABANDA YANAYOUZA NA KUTENGENEZA SAMANI ZA MBAO KATIKATI MJI WA MOROGORO


Na Halima Issa,Misalaba Media 

MABANDA kadhaa yanayohusika kutengeneza na kuuza bidhaa za samani ya Mbao yaliyopo mtaa wa Ngoto, kata ya Sabasaba katika manispaa ya Morogoro jirani na baa na hoteli maarufu ya Tax Palace yameteketea kwa moto sambamba na   nyumba kadhaa baada ya kuibuka kwa moto mkubwa ambao chanzo chake bado  hakijajulikana mara Moja.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post