UTEUZI WA VIONGOZI WA SMAUJATA KANDA YA ZIWA
Mwenyekiti wa SMAUJATA Taifa, Dkt. Sospeter Mosowe Burugu, amefanya uteuzi wa baadhi ya viongozi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kama ifuatavyo:
MKOA WA SHINYANGA
- Madam Nabila Kisendi – Mwenyekiti
- Hakimu Muhimbili Mwarabu – Makamu Mwenyekiti
- Nyanda George Nyanda – Katibu wa Mkoa
- Leah Nchenya Ndongo – Naibu Katibu wa Mkoa
- Frank Msangi – Mkurugenzi wa Itifaki, Uenezi na Uanachama
- Christopher Jonathan Mundeda – Mwenyekiti wa Idara ya Elimu
- Thomas Debora Nyitati – Mwenyekiti wa Teknolojia na Mifumo
- Angelina Boniface Makaka – Mwenyekiti wa Idara ya Hamasa Vijana na Mahusiano ya Kimataifa
MKOA WA GEITA
- Frank Frugens Kabiligi – Mwenyekiti
- Amosi Samweli Magige – Makamu Mwenyekiti
- Jastine Stanslus Katunzi – Katibu wa Mkoa
- Laurencia Zacharia Kahindi – Naibu Katibu wa Mkoa
- Alex Modest Kazura – Mwenyekiti wa Tathmini na Ufuatiliaji Mkoa
- Insp. Emmanuel Mbanga – Mwenyekiti wa Idara ya Sheria na Katiba
- Thomas Masondoka Deogratius – Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano
- Gothard Ntaleka – Mwenyekiti wa Idara ya Elimu Mkoa
- Mansoory Ahmed Abed – Mwenyekiti wa Itifaki, Uenezi na Uanachama
- Ismail Shukuru – Katibu wa Itifaki Mkoa
- Yohana Osmund Mlowe – Mwenyekiti wa Idara ya Afya Mkoa
- Fred John Fidel – Mwenyekiti wa Idara ya Hamasa Vijana na Mahusiano ya Kimataifa
- Mariam Joseph – Mwenyekiti wa Idara ya Jinsia Mkoa
- Yohana Hamisi – Mwenyekiti wa Idara ya Saikolojia na Elimu kwa Umma Mkoa
MKOA WA MWANZA
- Gasto Alex Didas – Mwenyekiti wa Mkoa
- Agripiner F. Musita – Makamu Mwenyekiti
- Hakimu Abdul Noor – Katibu wa Mkoa
- Godfrey Julius – Naibu Katibu wa Mkoa
MKOA WA SIMIYU
- Athuman Magembe – Mwenyekiti wa Mkoa
- Winfrida Methusela Magesa – Makamu Mwenyekiti wa Mkoa
- Kubilu Josiah Kigwasho – Katibu wa Mkoa
- Levina James Mwamba – Naibu Katibu wa Mkoa
MKOA WA KAGERA
- Felix Alesius – Mwenyekiti wa Mkoa
- Silla Gabriel – Makamu Mwenyekiti
- Fagence James – Katibu wa Mkoa
- Leokadia Leonard – Naibu Katibu wa Mkoa
MKOA WA MARA
- James Kigari Nyamushora – Mwenyekiti wa Mkoa
- Joyce James Ngasa – Makamu Mwenyekiti
- Simon Mnyanyasayi – Katibu wa Mkoa
- Justine Pangras Mjindira – Naibu Katibu wa Mkoa
Uteuzi huu unalenga kuimarisha utendaji wa SMAUJATA katika Kanda ya Ziwa na kuhakikisha mafanikio katika utekelezaji wa majukumu yake.
Post a Comment