" KAMPENI YA "NO REFORM NO ELECTION" YAMREJESHA DKt.SLAA CHADEMA

KAMPENI YA "NO REFORM NO ELECTION" YAMREJESHA DKt.SLAA CHADEMA

Na Belnardo Costantine, Misalaba Media

Katibu Mkuu  mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema), na aliyewahi kuwa Mgombea Urais kupitia chama hicho Dk. Wilbroad Slaa, amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Tundu Lissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 kwenye uzinduzi wa Operesheni ya "No Reforms No Election" katika jiji la Mbeya.



Post a Comment

Previous Post Next Post