Na Belnardo Costantine, Misalaba Media
Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine hapo jana alisusia kikao katika Ikulu ya White House baada ya majibizano makali na yenye hasira na Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu wa Rais JDVance.
Trump amechapisha kwenye mitandao yake ya kijamii akidai kwamba Zelensky alidharau Marekani katika Ofisi yake ya Oval.
Amesema Kiongozi huyo wa Ukraine anaweza kurejea akiwa tayari kwa amani.
Safari ya Ladha: Ubora wa East African Spirits (T) Ltd
Post a Comment