" KIKAO CHA ZELENSKY NA TRUMP CHAKOSA SULUHU.

KIKAO CHA ZELENSKY NA TRUMP CHAKOSA SULUHU.


Na Belnardo Costantine, Misalaba Media 

 Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine hapo jana alisusia kikao katika Ikulu ya White House baada ya majibizano makali na yenye hasira na Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu wa Rais JDVance.

Trump amechapisha kwenye mitandao yake ya kijamii akidai kwamba Zelensky  alidharau Marekani katika Ofisi yake ya Oval. 

Amesema Kiongozi huyo wa Ukraine anaweza kurejea akiwa tayari kwa amani.

Safari ya Ladha: Ubora wa East African Spirits (T) Ltd

Post a Comment

Previous Post Next Post