Jina langu ni Ally kutokea Moshi, ngoja leo niwape stori yangu, unajua kwa mujibu wa tamaduni za Kiafrika, ni kwamba mwanaume ndiye anamfuata mwanamke na kumwambia kuwa anampenda yaani kumtongoza ili kuwa naye kimahusiano.
Hivyo si jambo la kawaida kwa mwanamke kufanya hivyo kwa mwanaume ingawa mara chache huweza kutokea pale ambapo mwanamke anakuwa amengojea kitu hicho kwa muda mrefu kwa mwanaume ambaye ametokea kumpenda!.
Hilo ndilo jambo ambalo lilinitokea mimi baada ya kufanyiwa dawa na Kiwanga Doctors, kwa bahati mbaya au nzuri zaidi, kwangu haikuwa ni mwanamke mmoja, bali wengi hadi kushindwa kujua nimchukue yupi na nimuache yupi.
Awali katika ujana wangu niliangaika sana kwenye kutafuta mapenzi, nilisumbuka sana kwenye kutafuta mwanamke tena mrembo wa kuwa naye, kila ambaye nilimueleza nia yangu alikuwa ananisikiliza na kunipuuza tena kwa dharau.
Hali hiyo iliendelea hadi kufikia hatua ya kuchoka kabisa, nilichoka baada ya kuona wenzangu wanapata wapenzi wao wazuri na kuanzisha nao familia zao, huku mimi nikiwa pekee yangu kama mgamba.
Nakumbuka siku moja nikiwa nasoma mambo mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, niliweza kukutana na tangazo la Kiwanga Doctors kutokea Migori nchini Kenya ambalo lilieleza kuwa anaweza kumfanya mtu yeyote kuwa na mvuto wa kimapenzi na kupendwa na wengi.
Nilichukua namba yake ambayo na kuwasiliana naye mara moja na kuomba anifanyie msaada, basi alinifanyia tiba (love spell) na kunihakikishia baada ya muda mambo yangu yataanza kuwa mazuri, nami nitapata wa kufanana naye.
Kweli warembo walianza kunisumbua sana, wale wanawake ambao nilikuwa hata nawatumia SMS bila kujibu, walianza kunitafuta wenyewe, wengine kwenye mitandao ya kijamii walianza kunichokoza kimahaba.
Hadi sasa wanawake tena warembo wanaotaka kuwa na mimi ni wengi, uzuri ni kwamba nimeshachagua mmoja wa kuwa naye ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana. Kwa sasa tupo kwenye mipango wa kufunga ndoa na tumeshatambulishana kwa familia za pande zote mbili.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Post a Comment