Laki 8 na Imepatikana katika Alambee ya Uchangishaji wa Pesa ya kujikwamua kuwezesha mfuko wa Wanawake KATA ya Fela akizungumza Mgeni Ramsi wa Ruth Seni Ambae alikuwa Mgeni Ramsi katika Mahazimisho ya siku ya wanawake amesema Lengo la Mfuko huo ni kujikwamua Kimaisha wao kama Wanawake na siyo kuwa Tegemezi
Maazisho hayo yameandaliwa na Mwenyekiti wa Kata ya Fela Ndg Winifrida Mayunga ameongoza Maelfu ya wanawake na wasichana kwenye Mahazimisho hayo ya siku ya wanawake Duniani ambayo yalifanyika Jana katika Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza
Mahadhimisho hayo yamehudhuliwa na Viongozi wa Serikali Chama Cha Mapinduzi Viongozi Mbalimbali Wananchi na Wadau
Maadhimisho kitaifa yatafanyika jijini Arusha March8 /2025 kauli mbiu ya Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani Kwa Mwaka 2025 wanawake na Wasichana Tuimarishe haki Usawa na Uwezeshaji.
Post a Comment