Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akimkabidhi cheti chake Mapuli Kitina Misalaba, leo Machi 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake na Wanawake wenye ulemavu Mkoani Shinyanga.
Mkurugenzi wa Misalaba Media ambaye pia ni Mwandishi
wa Habari na Mtangazaji wa Gold FM, Mapuli Kitina Misalaba,
amekabidhiwa Cheti cha Shukrani na Jumuiya ya Shujaa wa Maendeleo
na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) kwa kutambua mchango wake katika
kuandika habari za ukatili mkoani Shinyanga.
Post a Comment