Na Halima Issa, Misalaba Media
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliofanyika machi 18 na 19,2025 Uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya.
Post a Comment