" Mrembo alia kisa kukosa mwanaume mwaminifu!

Mrembo alia kisa kukosa mwanaume mwaminifu!






Jina langu naitwa Serina, umri wa miaka 26, mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia kutokana na jamii ninayo ishii wanavyonambia, hata mimi mwenyewe nikijitazama naona kuwa nimetimia kila mahali kwa sababu nina kila sifa ambayo mwanaume anapenda kwa mwanamke.



Shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu nahitaji kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa muda mrefu sana na kujiuliza mimi mwenyewe maswali mengi bila kupata majibu sahihi ambayo yanaweza kutatu shida yangu.

Shida kubwa ni tangu nikiwa na miaka 17 nikijiusisha na mahusiano na mwanaume yeyote tunapendana kwa muda mchache sana na kuniacha bila mimi kujua wapi nimemkwaza.

Hali hiyo imenitokea kwa wanaume wengi sana ila mimi sikujali nikidhani mwanaume ambaye ananitongoza kisha tunapendana na baadaye ananiacha anakuwa siyo chaguo ambalo Mungu amenipangia.

Nilipofikisha miaka 23 nikaitaji mwanaume ambaye nitaweza kufunga naye pingu za maisha kwa sababu nilikuwa nimeshahitimu chuo, hivyo niliitaji mtu wa kubadilisha mawazo ya maisha japo bahati yangu kubwa nilikuwa natangozwa kila mara ila naachwa bila kujua wapi nimemkwaza mwenzangu. Jambo ambalo limekuwa kitendaaili kwangu.

Siku moja nilienda kumtembelea shangazi yangu mkoa wa Tabora ili niweze badilisha mazingira ya nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home. Nilifika salama na kupokerewa na mtoto wa Shangazi yangu Leaha.

Leaha alikuwa na umri kama wangu, hivyo tuliweza badilishana story mbalimbali kuhusu wanaume hata vitu vingine kuhusu maisha.

Watu wengi mtaani walihisi kuwa mimi na Leaha ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi tulivyokuwa tunapendana. Nikiwa nimemaliza siku saba tu nikiwa mkoa wa Tabora nikatongozwa na kijana mmoja anaitwa Sharifu.

Kwa mtazamo wa haraka Sharifu alikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza kumbukalia nikiofia yale yariyonitokea kwa wanaume wa kwanza niliokutana nao japo moyo wangu unaumia.

Siku zinazidi kusogea na Sharifu bado anaomba nimkubalie ili tuweze anzisha family wote wawili pia pesa yake ananipatia kila ninapoitaji bila kusita hata mtani wanamsifu kuwa ni kijana mzuri ana sifa yoyote mbaya mtaani hata shangazi anamjua kwa sasa ila mimi sijakubari.

Naitaji ushauri kwa yoyote atakayeweza soma story yangu maana sijui kipi nifanye, Sharifu nampenda ila naogopa nikishaingia kwa mahusiano naye ya ndani kabisa yasije nitokea kama mwanzo au nibaki single na kula pesa za wanaume wanaonitongoza ila nisiwakubalie na je nikifanya hivyo intaishi maisha gani kwa sababu umri unaenda pia?.

Kiwanga Doctors wanatatua shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kurudisha mpenzi wako, kupata mtoto, kusafirisha nyota yako, kupàndishwa cheo kazini, kupata kazi, kushinda michezo ya batinasibu, kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa na kutambua kuwa mwenzako anakusaliti au hapana kwa muda wa saa 24.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.

Post a Comment

Previous Post Next Post